Vunja Mbavu 4.0.9

Licencia: Gratis ‎Tamaño del archivo: 3.04 MB
‎Calificación de usuarios: 2.5/5 - ‎7 ‎Votos

Kiswahili: Vunja Mbavu ni programu ya simu janja ambayo inawawezesha watumiaji kutafuta na kusoma vichekesho na vunja mbavu nyingi zilizoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Tunaamini kwamba kucheka huleta furaha katika maisha na tunaamini kuwa kucheka ni zaidi ya tiba kwa binadamu. Vunja Mbavu ina mjumuisho wa vichekesho ambavyo vinaweza kumfanya mtu yeyote akacheka na kuburudika. Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa, vichekesho vyetu vinaweza kusoma au kuangaliwa na familia pia kwa sababu havina lugha ya kuudhi au matusi. Vichekesho vyetu viko katika mfumo wa maandishi, katuni,, sauti, na video jambo linalompa kila mtumiaji wa programu hii wasaha wa kufurahi kwa kila aina ya vichekesho. Aidha kuna: Vichekesho Vioja Katuni Makala Simulizi Siasa Jamii Video Inglés: Vunja Mbavu es una aplicación que permite a los usuarios buscar y leer chistes escritos en idioma swahili. Creemos que la risa puede tener un impacto en la felicidad de vivir y creemos que reír es más que medicamentos para las personas estresadas. Vunja Mbavu aplicación tiene una colección de diferentes chistes que pueden hacer reír a cualquiera y divertirse. Lo bueno es; Vunja Mbavu es para todos incluso chistes familiares porque regulamos los lenguajes abusivos y creemos que cualquiera puede reírse sin escuchar palabras abusivas.

historial de versiones

  • Versión 4.0.9 publicado en 2016-02-13

Detalles del programa